KWANINI WAFANYABIASHARA WENGI HUOGOPA TRA?

July 6, 2026 dr.eugen amos
KWA NINI WAFANYABIASHARA WENGI HUOGOPA TRA? 🤔

Wafanyabiashara wengi huanza biashara wakiwa na ndoto kubwa, lakini wanapoanza kupokea taarifa au ujumbe kutoka TRA huingiwa na hofu kwa sababu hawajui hatua sahihi za kuchukua.

Mara nyingi changamoto si kuwa na biashara iliyosajiliwa, bali ni kutoelewa majukumu yanayokuja baada ya usajili kama kutunza kumbukumbu za biashara, kufuatilia taarifa muhimu na kuhakikisha biashara inaendeshwa kwa utaratibu.

Usisubiri mpaka changamoto iwe kubwa. Hakikisha unaelewa hali ya biashara yako, unatambua majukumu yako na unapata mwongozo sahihi wa kuendesha biashara kwa kujiamini.

PijavaHub 》Empowering Businesses to Start, Comply, and Scale with Confidence.

🌐 www.pijavahub.co.tz⁠
📞 +255 749 737 869

Comments

No comments yet. Be the first to comment!

Leave a Comment

My Cart

Your cart is empty

 

 

Resolving Details