MAMBO YA KUANGALIA KABLA HUJASAJILI KAMPUNI 🤔
Watu wengi hukimbilia kusajili kampuni bila kufanya maandalizi sahihi, kisha baadaye hukutana na changamoto kwenye uendeshaji.
Kabla ya kusajili kampuni ni muhimu kujiuliza:
✅ Umechagua mfumo sahihi wa biashara kulingana na malengo yako?
✅ Unaelewa majukumu yanayokuja baada ya usajili?
✅ Umepanga vizuri taarifa za wamiliki na mfumo wa uendeshaji?
✅ Shughuli ulizochagua zinaendana na biashara unayotaka kufanya?
✅ Una mpango wa namna biashara itaendeshwa baada ya kusajiliwa?
Kumbuka: kampuni bora haianzi na cheti pekee, inaanza na maandalizi sahihi.
PijavaHub》Empowering Businesses to Start, Comply, and Scale with Confidence.
🌐 www.pijavahub.co.tz
📞 +255 749 737 869
Leave a Comment