
Makosa 3 Yanayoua Biashara Mpya Mapema
1. Kuanza Bila Kujua Wateja Wako ni Nani
Watu wengi huanza biashara kwa kuona wengine wanafanya.
Hawajui:
Wanamuuzia nani
Tatizo la mteja ni nini
Mteja ana pesa kiasi gani
Ukikosa kujua mteja, utatangaza hovyo na kuuza kidogo.
2. Kusubiri Faida Kubwa Haraka
Biashara mpya inahitaji muda kujijenga.
Makosa yao:
Wanataka profit wiki ya kwanza
Wakikosa wanakata tamaa
Wanatumia hela yote mapema
Biashara nyingi hufa kwa kukosa uvumilivu.
3. Kutokutangaza Kila Siku
Ukifungua biashara halafu ukae kimya, nani atajua?
Lazima:
Post Facebook
WhatsApp status
Kuongea na watu
Offer mpya
Follow up wateja
Biashara bila marketing ni kama duka gizani.
#onlinebusiness
Leave a Comment