Your cart is empty
Boost business continuity with seamless access to your disabled account, allowing you to swiftly rectify issues and get back to driving growth through our expert consulting services at PijavaHub. Our tailored solutions ensure you never miss a beat, minimizing downtime and maximizing efficiency.
Kama umekuwa ukikutana na hii changamoto ya akaunti kuwa restricted or disabled kwasbabu ya kudaiwa na bwana meta.
Iko hivi aliyekuambia atafuta deni lako ila mlioe kwanza nusu ya hilo deni daah ,unapigwa boss wangu!
Iko hivi kamwe meta huwezi kufuta deni lao, kuliepuka deni lao ni kulilipa period!
Ila kama hutaki kulilipa ama nikubwa kuliko matokeo uliyoyapata ama hauna pesa kabisa za kuilipa na uliambiwa njia mbadala kama hutaki wakufutie ni kufungua akaunti mpya😪😪 daaah! Pole sana.
Nisikilize boss wangu wangu kama ulifanya hivyo basi ulipoteza kitu cha maana sana ,kuiacha akaunti maybe ina 10k ukafungua mpya kwa kigezo cha kukubali kuanza upya siyo kweli.
Leo nakusanua usiifunge akaunti yako wala usipoteze akaunti yako, Meta hafuti deni mpaka uwe umelipa ,ila ananafasi ya pili ,karuhusu kuwa na akaunti zaidi ya moja kwenye meta ads
Kivipi!!...
Ni hivi akaunti au page yako ni ubao wa matangazo ,na kwenye ubao huo kuna sehemu ya kufanya makubaliano ya kufanya tangazo lako yaani Ads center, hapo unapata nafasi yakumiliki ID ads zaidi ya moja or Ads account zaidi ya moja , hivyo unachotakiwa kufanya akaunti ikiwa na deni kubwa ,nenda ads center fungua akaunti mpya.
Kama unafeli kufanya hivyo ,tuone sisi tutakusaidia kwa gharama nafuu kabisa.
Sitakusanua tena.......maana watanichukia
Your cart is empty
Resolving Details