Your cart is empty
As entrepreneurs struggle to bridge the knowledge gap between business ideas and reality, PijavaHub's TUNATOA ELIMU YA UJASIRIAMALI provides customized consulting services to bridge the gap between theory and practical business implementation.
🌱📚 TUNATOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA VIKUNDI, SACCOS NA VICOBA!
Pijava Hub tunawawezesha wanachama na vikundi kupata elimu ya ujasiriamali, mbinu za kukuza biashara na usimamizi bora wa shughuli za kiuchumi. ✅
✔️ Mafunzo ya ujasiriamali
✔️ Elimu ya biashara na uwekezaji
✔️ Mikakati ya kukuza kipato
✔️ Ushauri wa vikundi vya kiuchumi
✔️ Mafunzo kwa SACCOS & VICOBA
Tunajenga uwezo wa vikundi ili viweze kujitegemea, kukua na kuleta maendeleo ya kweli kwa wanachama wake. 📈✨
📞 0749737869
🌐 www.pijavahub.co.tz
Your cart is empty
Resolving Details